Recent content by Minael Masasi

  1. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Nataka kutapeli mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Nimekadiria kutokana na uzoefu wa mashamba niliyoyafanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Miezi 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Inategemeana na umbali, na changamoto zilizopo katika udongo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Kiwango cha mbolea kinategemea na shamba lina kiwango gani cha rutuba Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Minael Masasi

    Shukrani wadau wa kilimo kwa kushirikiana nasi katika kuhakikisha kilimo kinakua kwa kasi tunawatakia mwaka mpya mwema 2020

    Ujanja upi mkuu, kuna kosa ku post kitu on my page au Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Minael Masasi

    Shukrani wadau wa kilimo kwa kushirikiana nasi katika kuhakikisha kilimo kinakua kwa kasi tunawatakia mwaka mpya mwema 2020

    Sijui kama ulishawahi kutapeliwa na taasisi hii mkuu, kosa ni ku post au ni kitu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Minael Masasi

    Shukrani wadau wa kilimo kwa kushirikiana nasi katika kuhakikisha kilimo kinakua kwa kasi tunawatakia mwaka mpya mwema 2020

    Tunashukuru sana wakulima binafsi, taasisi za serikali na mashirika binafsi na wadau mbalimbali wa kilimo kwa kuweza kushirikiana nasi kwa namna mbalimbali katika kukuza sekta ya kilimo kwa mwaka 2019, sisi ni nani hadi tusimshukuru Mungu kwa neema zake alizotujalia, japo changamoto hazikuwa...
  9. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Kulima mabondeni kwa mvua, unalima kupeleka local market,, hongera Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Minael Masasi

    Punguzo la bei katika mfumo wa umwagiliaji maji, ujenzi wa greenhouse

    Miti na chuma zote zinatumika kinachotofautisha ni gharama Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Minael Masasi

    Punguzo la bei katika mfumo wa umwagiliaji maji, ujenzi wa greenhouse

    Ujenzi wa jengo, water tank, drip system na miche Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Minael Masasi

    Punguzo la bei katika mfumo wa umwagiliaji maji, ujenzi wa greenhouse

    MASASI FARMING & AGRO BUSINESS Punguzo la bei katika kufunga mwaka, jipatie uwezo wa kumiliki greenhouse na nethouse kwa gharama nafuu zaidi hizi zitakuwezesha kulima kwa malengo maalum bila kuhofia kuathiriwa kwa mazao kutokana na mvua au wadudu. 1. Greenhouse mita 6 kwa 12 bei milion 3...
  13. Minael Masasi

    Punguzo la bei katika mfumo wa umwagiliaji maji, ujenzi wa greenhouse

    MASASI FARMING & AGRO BUSINESS Punguzo la bei katika kufunga mwaka, jipatie uwezo wa kumiliki greenhouse na nethouse kwa gharama nafuu zaidi hizi zitakuwezesha kulima kwa malengo maalum bila kuhofia kuathiriwa kwa mazao kutokana na mvua au wadudu 1. Greenhouse mita 6 kwa 12 bei milion 3...
  14. Minael Masasi

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Usikurupuke eleza ulichotapeliwa ,,,kuna watu mpo kwa ajili ya kuchafua taasisi za watu ,na bora umeweka kivuli maana ningeshakuchukulia hatua za kisheria ,,,sipendi upuuzi kwenye kazi zangu .take care Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom