Recent content by minaa

  1. minaa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nina uvimbe kwenye korodani

    Kaka pole hiyo sio thyroids issues ?kama goitre au lump ,itakuwa upungufu madini ya iodine hayo ,nenda hosp upime Thyroid function uone au tafuta hiyo iodine na selenium supplement ule uone ,nakiete phamarcy naona watakuwa nazo
  2. minaa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Kuleni vitamins jamani maana most of us we don’t get enough vitamins through food ,tunatakiwa tu add supplements ,hiyo Dalili ya low vitamins b kwa uelewe wangu ,vizuri kama umepata Tiba
  3. minaa

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kupata hata mtoto mmoja tu

    Kaka ,maybe una low count sperm ,tafuta ,zinc vitamin ,Vitamin C pamoja na vitamin D hizo na fungreek seed sijui kwa kiswahili zinaitwaje anza dose hizo kuboresha sperms hizo uone ,maana la sivyo utaja pewa watoto si wako 🤣
Back
Top Bottom