Mkuu mimi pia mpandajinwa miti Njombe naomba uni add kwenye group lenu la upandaji miti kwasasa nipo mbali na nchi ila nina muwakilishi wangu ambaye ananipandia na kunisaidia mashamba uko Njombe, natanguliza shukrani za dhati, msimu80@gmail.com
Wakuu naombeni kujiunga na hili kundi, nipo katika process ya kupanda miti Iringa, nimeipenda hii thread maana kuna doubter alishaanza kunipotosha akili, katika pita pita zangu nikaona hii kitu hapa jamii forum,nashukuru kuwa approved kama member mpya, wenzetu wakenya wanakuja kununua maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.