mkuu nikiweka hapa ntakuwa kichwa panzi kama wao,ngoja nizichambue ambazo sio rahisi kugundulika kwa sura thn nifanye mchakato wa kuingia jukwaa la wakubwa afu ntazitupia kule
upo sahihi kiongozi wanahitaji ufundi mpya daily lakini usifike huku kwenye kujidhalilisha,itakuwaje watoto wao wakija kuona ujinga wa wamama yao watakapokuwa watu wazima
hahaha haa bazaz sijataka kuficha ficha hizo code ndio maana zinajulikana, nimeziweka hivi ili muhusika ajue may b inaweza kumfikirisha ili ajue ujinga anaoufanya
Wadau habari za asubuhi maana wengine tumeamka na mahangover!
Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna sista mmoja tunapiga nae kazi kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kwenye kampuni binafsi (ya vile vinywaji pendwa vya kikubwa) LTB, ni dada wa heshima sana na mcheshi ila ndio amenifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.