Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Habarini, Nilikuwa Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye ujuzi au taarifa zinazoweza nisaidia kwa kupata mafuta ya nywele kama olive oil, Castor oil, jojoba kwa bei ya jumla.. Nataka kufungua biashara yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.