Recent content by Mimi Myself

  1. M

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Ni jambo jema kama watakua waungwana kutoa mrejesho,ila hata wakikaa kimya poa...mtafutaji hachoki ndio lugha yetu ya kujifariji
  2. M

    Mishahara ya Serikali hupanda kwa asilimia ngapi?

    Huenda ukweli ukawa ni huu,japokua naomba Mungu isemwe ni kati ya 10% hadi 100%
  3. M

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Okay thanks mkuu,Ila huwa wana-notify kwa njia gani hasa,simu au emails?
  4. M

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Interview ilifanyika lini mzee?
  5. M

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Acha utani basi mkuu, deadline yenyewe ilikua tarehe 31 March mzee,duh
  6. M

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Naomba mnijuze wakuu kwa wale ambao mliomba kazi za Tanroads Tabora, vipi walishaita kwenye interview au watatangaza lini na wanatangaza kupitia website gani? Tafadhali msaada wenu wakuu.
Back
Top Bottom