Habari JF..mm ni binti nina boyfriend wa muda km miaka 7 now.
Bahati mbaya sn nilikoseaga nikaenda kuishi nae tena nyumbani kwao kabisa mamamkwe na wawifi wote wapo. Hajanitolea barua wala mahari. Wakati naishi nae familia yake ikawa hainipendi navumilia walikua wananiona km nimemroga mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.