Recent content by Milima ya Uluguru

  1. M

    Bomu la ajira kwa vijana aliloliona Edward Lowassa

    BOMU LA AJIRA KWA VIJANA ALILOLIONA EDWARD LOWASSA. Leo 15:15pm,03/11/2019. •Ajira isiyotoa kipato cha kuridhisha. •Ajira isiyokidhi matarajio. •Ukosefu wa ajira jumla. Sera zetu za kielimu,kiuchumi,kibenki na kijamii na pengine mifuko mingi kwa ajili ya kuongeza ajira inawaandaa vijana wengi...
  2. M

    CAG bora wa muda wote nchini Tanzania

    CAG BORA WA MUDA WOTE NCHINI TANZANIA. Leo 13:15pm,07/04/2019. Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za Umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.Huyu ndiye aliyewapa kiki Chadema kwa "Special Audit" zake ambazo...
Back
Top Bottom