Nilifika kijiji flani Mlimba mliman karibu na mpaka wa Wilaya ya Kilolo. Duka na genge halina muuzaji bali orodha ya bei ya kila kitu imewekwa.
Unajihudumia unachotaka unaweka hela yako na kuchukua chenji na kuondoka.
Hakika kabadilisha maisha ya wengi wetu, kwani alikuwa mfano bora ktk suala la kufanya kazi kwa bidii. Nakumbuka zaidi cku za ushirika, Azimio, mwongozo, ujamaa na umoja houses ilikuwa ni full kuchapa kazi. Ee Mungu mwenye rehema umpumzishe ndugu LADISLAUS kwa amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.