kwa hiyo unataka niandike kwa lugha gani ili ionekane ni ngumu sana au serious sana?
mimi nimeandika facts hali niliyonayo katika mambo ya fedha na mikopo..sasa unataka nini cha ziada???
wewe nini maana dhamana???
unajua we mtu mzima!!!!!!!!!
hiv umetumia akili zote kweli hapo????
wapi nimeita mwendawazimu???
nimesema hiv...nina vitu vya ndani..ina mana nyumba ina thaman kubwa kuliko mkopo ninaoutaka..so ikifikia kipindi nimekabwa ni bora niuze vitu vya ndani kuliko nyumba..sababu vitu vya ndani vikiuzika m3.5 unapatikani...kwa...
Mkuu nina leseni ya biashara
Nina tin namba
Nina bank ila siitumiagi mara kwa mara.. ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaidi ya miezi sita halafu mzunguko mkubwa saaana..
Mimi nina shida ya hela siku hizi chache
NB: Ofcourse ndo maana ya kuweka dhamana.. nikishindwa atauza nyumba.. ila mtu...
Ninahitaji mkopo wa milioni tatu 3.5 ili kuendeleza biashara yangu
Dhamana ya nyumba ipo
Sijaenda bank kwa kuwa sina tabia ya kutumia bank saaana hivyo basi bank statement yangu sio nzuri..... Lakini pia haijafika miezi sita..
Tatizo jingine dhamana iko mkoani Kagera na mimi nipo...
Habari
Naomba kujua sehemu wanakofundisha masomo ya computer kwa upande wa programming na coding kwa hapa mwanza.
Ada ni sh ngapi?? na ni wapi?
Binafsi sina msingi wa masomo ya computer...kwa hiyo sijui chochote kwa upande huo..
Asanteni
Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili.
Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi?
Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi?
Aina za wakazi wa mji huo je?
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.