Recent content by milcyphina_tz

  1. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    [emoji16]asanteeee
  2. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Asante eeh
  3. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Nashukuru kwa ushauri
  4. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Yea hapo ni kwel asante
  5. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Wooow asante sana
  6. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Nashkuru sana ndugu yangu
  7. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Asante sana ndugu ......ila hilo jina sio gumu eeeeh??
  8. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina bora la kampuni

    Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama kutengeneza logo itayokaa kwenye nguo ......stationary.... Bakery.....Saloon na kiwanda cha kutengeneza fresh...
  9. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuendesha biashara ya Logo( Clothing Brands) endapo unazo nyingi

    Anhaaaaa asante hapo nmekuelewa
  10. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuendesha biashara ya Logo( Clothing Brands) endapo unazo nyingi

    Anhaaaa ni kuhusu logo yani kuprint nguo kwa jina ambalo unalo ww mfano mzuri ni logo ya African boy ya jux .....sjui umenielewa
  11. milcyphina_tz

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuendesha biashara ya Logo( Clothing Brands) endapo unazo nyingi

    Habari ndugu zangu.. Mimi nimeamua kujishughulisha na biashara ya logo za nguo kama ilivyo African boy ya Jux Lakini mimi sitaki kujishughulisha na logo moja tu kwasababu nina mawazo mengi Naombeni mnishauri jinsi ya kuzipangilia yaani ipi itoke ipi ifate na kwenye kuzitoa zipishane kwa muda...
Back
Top Bottom