Recent content by milanzistieve

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitajie nyimbo za Wasanii hawa

    Habari waungwana naomba mwenye hizi nyimbo zituatazo. Tugawane umasikini,juma nature Lakuvunda.juma nature. Neema rmx,adolph mbinga ft banza stone. Ndoa ya lazima. Juma kakele Tabu za maisha. African stars band Madaraka ya jikoni, nina musica
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Habari zenu wadau mm natafuta nyimbo zifuatazo:kusema sema rmx, laila na ukweli hizi nyimbo zimeibwa na band ya chuchu sound, pia kuna nyimbo za mchinga sound zinaitwa:kidomo domo na nguzo tano za mapenzi, nyingine ni ya juma kakere inaitwa ndoa ya lazima ipo katika album yake ya betty:na wimbo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Habari zenu wapendwa mm ni mpenzi sn wa muziki wa dansi kuanzia mwaka 2000 na kuendelea nilikua naomba nyimbo zifuatazo , chuchu sound leila, ukweli, kusema sema rmx, na nyingine ni za mchinga sound inaitwa kidomo domo, nyingine ni juma kakere inaitwa ndoa ya lazima iko katika album yake ya...
Back
Top Bottom