Recent content by mike318

  1. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Ok.anauza 500k unanishauri niichukue au
  2. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Lakini kama hizi battle field,fallen dogs itazingua?
  3. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Ngoja nmemuuliza tena vzur.vp ikiwa iyo 3110m iko poa ama?
  4. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Amenitumia jina lq processor ivyo kama ilivyo,amepiga pic pia hio sehem akantumia
  5. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Chief-mkwawa.kuna hii jamaa anauza.ni core i3-3210m 2.3ghz,4 gb ram.samsung laptop vipi kwa games kadhaa itaweza?
  6. mike318

    Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Wakuu nna laki 5,.nataka laptop itakayosukuma games kadhaa kama fifa,call of duty nk. Iwe used au mpya,mnanishauri nichukue yenye vigezo gani kulingana na iyo budget hapo. Hata kama kuna anaeuza yake kwa bei iyo aseme pia specs zake.napatikana dar,natanguliza shukrani wakuu.
  7. mike318

    Jinsi ya kuinstall windows 7/8 kwenye chromebook

    Anaeweza kuinstall,na manuva mengne kwa chromebook anifanyie.ntamlipa.npo dar.
  8. mike318

    Toshiba external disk

    500GB.mint condition,slim and portable...bei 120,000/=MAELEWANO YAPO...0719440158
  9. mike318

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Huawei y330.inataka 110k.used miezi mi4...nicheck 0719440158
  10. mike318

    Tumia laptop yako kutengeneza wifi hotspot

    fanyeni na mpango wa kuhack wifi zenye password
  11. mike318

    How to change 32 bit to 64 bit

    Shukrani mkuu
  12. mike318

    How to change 32 bit to 64 bit

    Naomba hivi laptop ikiwa 32bit operating system ukitaka iwe 64bit inakuaje?au mpaka uinstall windows ya 64bit nini?
  13. mike318

    Mwenye nokia OG(c3,e63,e71,e72,nokia navigator)

    Natafuta simu moja wapo kati ya hizo iliyopo ktk hali nzuri kwa 50,000tshs.nipo dar.nipm
Back
Top Bottom