Recent content by Mike Thomas

  1. Mike Thomas

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nimekataliwa mahusiano na rafiki yangu

    Kukataliwa kwetu sisi wanaume Ni Jambo la kawaida sana hivo usijute Wala kujilaumu;... Kuna wanawake wengi huona fahari pale mwanaume anapo mtongoza lakin hapendi kukubaliana na maneno japokua anafurahia kuona anakitongozwa na Kila mwanaume... Achana naye Wala usimchukie ...
  2. Mike Thomas

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Huo ni ufuckin ,. Mbona kila chakula kina madhara??!,. 😠😠😠😠😠,. Mna maudhi Kweli!!,. Wacha tufe maana pia kufa kupo!!
  3. Mike Thomas

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya makalio makubwa kwa wanaume

    Dawa ya makalio makubwa kwa mwanaume ni kufanya mapenzi kwa wingi huku ukisindikiza na mazoezi pia lakin zingatia vyakula unavyo kul', usile chips Au vyakula lain au vya kutoka viwandani ', jaribu kuwa naturally !!
  4. Mike Thomas

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

    Bila Ngono Hakuna maisha', na itategemeana na hitaji la mwili wako ', mwili pia ina kipimo chake *automatic * huja automatically na sio kufosi
Back
Top Bottom