jamani kusoma nje ni gharama sana tusifurahie tu kusoma nchi yenye jina tufikirie maisha tutakayoishi huko mimi ni shahidi wa mambo haya wapo watanzania waliokwenda huko kwa kufuafuata mkumbo sasa wanafanya kazi ngumu hawana makazi wala chakula wanateseka sana wengine wamejifanya wakimbizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.