Recent content by mihuka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    mawazo ya kila binadamu yanatofautiana ,usilazimishe yafanane ,pia kama ungekuwa unafikir zaidi nimeandka naomb msaada ,so unaweza ukawa wa aina yoyote ule ,includ unipe njia bora za kujiajir
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    God is alwayz Great ,thankx
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    asante xn
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    mtaj kaka,hata kula napga kalenda za masaa ili cku ziende
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ameisha fungua milango ya ajira

    Mungu ainuliwee hakika, naamini atatenda na kwangu soon.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.
Back
Top Bottom