'Opinions are like assholes,everyone has one'.
Kuna mambo mengine ni aibu kujinasibisha nayo,kama kweli wewe ni ccm utakuwa ni ccm ile ya kuliibia taifa bila kujali next generation. CCM ya aina hiyo ya akina Jk,Nape,Rostam,Chenge,Lowasa etc imeshapita and never should you expect kupata tena ccm...
Hii ni siasa na lazima ujue nature ya siasa za afrika zilivyo. Chadema wanabeza sana na kukejeli watu wao 'kununuliwa' BT laiti ingekuwa wanatoka ccm na kwenda chadema story ingekuwa tofauti kabisa! Chadema imemshawishi Maalim Seif kujiunga nao kwa ahadi ya kumpa agombee urais Zenji,hii ina...
In politics,malaika anaweza kugeuzwa shetani na shetani anaweza kupambwa akafanana na malaika! Ila ukweli halisi ni kuwa hii issue inashadadiwa zaiidi na maadui wa makonda kuliko uhalisia wa issue yenyewe. Makonda aliomba tax exemption, issue ilikuwa ni kumkatalia tu basi, lkn imefanywa kisiasa...
Nadhani kuna kitu hujaelewa vzr mkuu,'system' is almost everything! Ststem ndiyo inayo-harmonise masuala ya nchi na ni mhimu ujue pia kuwa nchi ina makundi mengi ya kijamii kama wakulima,wafanyakazi,wafanyabiashara,wasomi,majeshi etc etc so wanasiasa ni portion ya jamii. Mojawapo ya kazi za...
Issue siyo tume huru mkuu,unataka kusema Kenya nao hawana tume huru? Ukisoma vzr utaelewa nn maana ya system na nguvu yake. Waulize wamarekani nguvu ya KGB kwenye uchaguzi uliopita
Kuna mambo huwa nakubaliana na TL BT kuna mambo pia huwa sikubalian nae,
1.Anajifanya ana akili saaaana kuliko MTU yeyote probably hapa duniani(anaiita report ya makinikia kuwa 'professorial rubbish'). Kama mwana taaluma hii si saws.
2. Anakosoa tu bila kuonesha solution,kwa nn asiseme kama...
Kwa mara ya kwanza Tanzania ilizalisha wakimbizi huko Zenj kwa uongozi wa babake Shangazi,amewahi kuhoji wale watu waliouawa wakati wa utawala wa babaye??
Pale mtenda anapotendwa,Fatma hawezi kuepuka kadhia ya kuwa mwanafamilia inayohusishwa na siasa za ukandamizaji huko visiwani. Mtoto wa nyoka ni nyoka siyo kamongo!
hii nchi tuna tatizo kubwa sana,Yeriko umeleta hoja nzuri lakini zimeishia mipasho! Umesema ya OIC,KADHI,million 50 kila kijiji etc,nakubari kuwa siasa za Tanzania siyo za CCM au CDM wote hawaeleweki! Kuna watu walimtukana saaaana Jakaya kuwa kafeli karibu kila sekta ila Leo kwao ndo shujaa...
Kuna tofauti kubwa kati ya kufundisha CRITICAL THINKING na POLITICAL THINKING. Tatizo lililopo ni kuwa lectures siku hizi zimegeuzwa kuwa sehemu za wahadhiri kuhubiri siasa yaani hata mhadhiri wa Engineering Mathematics 1 anafundisha 'political thinking'.
Mods huu upuuzi mwingine hivi mnauruhusu ku-trend humu kwenye jukwaa la watu wazima? Huu udaku ni wa instagram siyo humu ambapo kuna wahariri wa threads. Pls Mods ipeni thamani JF yetu
Watu
watu ambao hamjawahi kwenda hata mgambo mna shida kweli! Jeshini mkuu wako hawezi kufika kabla yako and there is absolutely NO EXCUSE unless otherwise umecheleweshwa na mkuu wa mkubwa wako. Seniority and ranks ndo huamua chain of command, siyo huku uraiani baba ndevu,mama ndevu na mtoto...
Tangu hao wafanyabiashara wamekuja kuna lolote ambalo tumewapita Kenya unaosema walikuwa wakituonea gere?? Hujui kuwa mwekezaji mkubwa kabisa wa hapa Tz ni Mkenya na siyo hao wezi wa dhahabu na kutusainisha mikataba ya kilaghai huku wakituacha hohehahe? Kwa taarifa yako tu; HAKUNA URAFIKI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.