Sijakata tamaa ndugu ndio maana nahangaika. Firm ilikua ya watu wawili lakini imevunjika jamaa mmoja kaondoka kaenda kusoma phd na ndie aliekuwa active kama ni kesi alikua anazibeba zote yeye jamaa aliebaki ni haendi mahakamani akiletewa case inabidi nae atafte tena rafiki yake ampe hiyo kesi na...
Wasalam watanzania wenzangu.
Najitokeza kwenu kuwaombea msaada kadri ya mtakavyoweza nisaidia. Sihitaji msaada wa pesa ila naomba kusaidiwa kazi.
Ki ufupi mimi ni graduate wa sheria chuo kimoja hapa Tanzania, nimehitimu mwaka 2016 lakini tangu nihitimu nimestruggle sana kupata ajira pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.