Recent content by mihale45

  1. mihale45

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza laptop used HP probook 6360 p Spec RAM 4GB HDD 500GB Core i5 Shida yake ni spika tuu hazifanyi kazi unatumia earphone.. Bei 280000. Maongezi yapo nitafute kwa namba 0764055593
  2. mihale45

    Nataka kujua kuhusu PSPTB juu ya professional stage 1

    Jamani nina maswali matatu ningependa kujua kwa yeyote mwenye uelewa 1. Nataka kujua fees amabazo natakiwa kulipa kwa ujumla ili kufanya mitihani ya bodi ya psptb(procurement board) 2. Professional stage 1 ni equivalent na nini?? i mean ni sawa na dploma au certificate? 3. Ukimaliza...
Back
Top Bottom