Simba imepata ufadhili mkubwa mno haijawahi tokea Tanzania.
Ikumbukwe Rais Samia kipindi cha nyuma kidogo aliahidi kuzitafutia Simba na Yanga ufadhili.
Je, hii inaweza kuwa ndo utekelezaji wenyewe wa ahadi. Huyo mzabuni aliyeshinda ni geresha tu kuna watu wako nyuma,tutajua zaidi.
Ngoja...
Naomba kujua jinsi mgawanyo wa fedha za motisha unavyokuwa kwa wachezaji wa mpira wa miguu.mfano juzi Mo ametoa milioni 500,je wachezaji wote watagawana sawa[waliocheza na ambao hawakucheza].Benchi la ufundi na wao wapo kwenye mgao pamoja na watu wengine kama msemaji wa timu msemaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.