Recent content by Migel

  1. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Mkuu wa majeshi ya Tanzania ni Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye ni Mh. J.M Kikwete. Wengine ni kama ifuatavyo; 1: Mkuu wa jeshi la wananchi ambaye ni Mwamunyange, 2: Mkuu wa jeshi la Polisi ambaye ni Mangu, 3: Mkuu wa jeshi la...
  2. M

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Ikiwa unasema kamati kuu ilikwisha mteua dr.slaa kugombea urais toka mwezi Wa Kwanza na kumsibitisha mwezi wa tano. Swali langu kwa wewe lisu ni je, ni mamlaka hipi ilitengua uteuzi wake ndani ya chama? Je, ikiwa maamuzi yalikwisha kufanywa ndani ya chama chenu, imekuwaje mkateua tena mgombea...
  3. M

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Ikiwa unasema kamati kuu ilikwisha mteua dr.slaa kugombea urais toka mwezi Wa Kwanza na kumthibitishamwezi wa tano. Swali langu kwa wewe lisu ni je, ni mamlaka hipi ilitengua uteuzi wake ndani ya chama? Je, ikiwa maamuzi yalikwisha kufanywa ndani ya chama chenu, imekuwaje mkateua tena mgombea...
  4. M

    Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    Yaani mtu akishindwa uchaguzi, basi anahama chama. Kama angelishinda asingeliama. Kosa la jk lipo wapi hapo??? Kwani huyo ana hati miliki ya ya hilo jimbo, kwamba hakuna mtu mwingine yeyote mwenye uwezo zaidi yake??? Aina ya watu kama hao ni wachumia matumbo yao tu! Katika ushindani wowote kuna...
  5. M

    Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Bado najiuliza, inawezekanaje kupata wadhamini zaidi ya 1.4milini ndani ya siku 3, na katika mkoa mmoja tu dar?? njia ipi ilitumika kusajili wadhamini wake, je, ilikuwa kwa kujaza majina ya wanachama katika karatasi au kwa njia ya mtandao? katika ofisi zipi za chadema zoezi hilo lilifanyika? je...
  6. M

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Japo unao uwezo wa kujenga hoja vizuri. Lakini, kitu kinacho niudhi ni jinsi unavyokiharibu kiswahili kwa kuchanganya na lugha nyingine! Si kila msomaji anaelewa lugha ya kiingereza. Jaribu kutumia lugha moja tu katika maandishi. Kama ni kiingereza,basi iwe hivyo mwanzo hadi mwisho na kwa upande...
  7. M

    Tanzania inajipanga kutumia teknolojia ya GMO katika kilimo

    Kitendo cha waziri wa kilimo kukubaliana na huu mpango wa matumizi ya GMO kwa kilimo Tanzania, tayari inatosha kumchunguza na kumtoa katika hiyo nafasi. Inaonyesha ni dhaili atakuwa kaongwa pesa nyingi tu kwa ajili ya kupigania kuupitisha mradi huo hatari kwa kizazi cha watanzania. Sijui...
  8. M

    Sasa kumekucha uchukuaji fomu za Ubunge, Wasanii wajiapiza

    Utawala wa serikali ya awamu ya nne umeraisisha mambo. Kila mtu sasa anaona kumbe siasa ni Kama maigizo au mchezo tu. ubunge na uraisi sasa ni nafasi za kawaida tu machoni mwa watu, maana wamejionea wenyewe toka 2005-2015 uwezo wa wawakilishi hao. Nchi imekuwa ya watu wa bora liende tu.
  9. M

    Ni upi uwezo wa kutoa speech Kingereza kwa watia nia urais 2015

    Kuongea kiingereza si kigezo cha kuwa mwakilishi bora katika nyanja za kimataifa, zaidi ni kuendeleza ulimbukeni na utumwa wa kifikra kwako na taifa lako. Nilitegemea ungetoa maada isemayo "tunahitaji Rais ambaye anakijua kiswahili kwa ufasaha na atakitumia popote atakapoiwakilisha Tanzania iwe...
  10. M

    Dongo la Wassira kwa Makongoro ni aibu kwa Kiongozi mwandamizi kuwaza mawazo tegemezi

    Baadhi ya watangaza nia kama wasira na wenzake wamekuwa serikalini, hao hao ndiyo wa kwanza kukosoa serikali zao katika kipindi hiki cha uchaguzi. wanaikosoa serikali na kudai wao watafanya makubwa zaidi wakiwa rais. Walikuwa wapi siku zote? Mbona hatujaona ufanisi wao wakiwa serikalini? Tatizo...
  11. M

    Makongoro Nyerere: Mkinichagua, nitaanza kushughulika na kukiimarisha chama

    Nadhani yupo sahihi tu, kwa sababu hatua hii ya sasa ni ya wao wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao ccm. yeye anatafutwa kuungwa mkono na wanaccm wenzake ili wampe fursa ya kukiwakilisha chama chao katika uchaguzi mkuu wa uraisi. akipata fursa hiyo, hapo ndipo atakaposhindana na wagombea...
  12. M

    Makongoro Nyerere: Mkinichagua, nitaanza kushughulika na kukiimarisha chama

    Nadhani yupo sahihi tu, kwa sababu hatua hii ya sasa ni ya wao wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao ccm. yeye anatafutwa kuungwa mkono na wanaccm wenzake ili wampe fursa ya kukiwakilisha chama chao katika uchaguzi mkuu wa uraisi. akipata fursa hiyo, hapo ndipo atakaposhindana na wagombea...
  13. M

    Mgombea urais: Huyu ndiye anayeungwa mkono na chama cha CCM

    umeeleza vema. Lakini pia kuongezea, hao baadhi ya wanadiplomasia wanaosemwa kuwa wanakubalika kwa mataifa makubwa yenye nguvu ktk baraza la kudumu la usalama la UN (mf: USA, UK, FRA ), utakuta hawana lolote zaidi ya kutii na kutekeleza kile wanachoamua hao ktk mfano. Kwa lugha nyepesi uitwa...
  14. M

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    kuongea kwake kunadhihirisha ya kuwa anafaa kuwa kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali. inaonyesha anatenda anayoyasema. kitendo cha kuonyesha udhaifu wa baadhi ya mambo katika ccm na wanachama wake na kukemea, ni dhairi anaweza kufanya mabadiliko makubwa si tu kwa ccm bali kwa taifa zima.
Back
Top Bottom