Habari Yako , me nahitaji mawakala wanaoagiza vitu moja kwa moja china niwatumie Ila nna namba ya nida na TIN number naombeni msaada mniunganishe nao tafadhali
Hellooo
Poleni na majukumu ya kila siku, mi mjamzito nilipima ultrasound nikaandikiwa majibu ya tar ya kjjifungua lakin sasa najisikia maumivu kweli kuzunguka kiuno na yanakuja na kupotea. Swali ni kwamba je, kuna uwezekano wa kujifungua kabla ya tarehe kulingana na majibu ya ultrasound?? Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.