TUNAUZA VIFARANGA WA BROILER NI BEI NI 1,300Tsh
Ukinunua kuanzia Vifaranga 1,000 bei ni 1,200Tsh tu
Weka oda yako, Vifaranga tunatoa Siku ya juma tatu na alhamis.
#broiler #kukuwanyama #kukuwakisasa #vifarangabora #kukuwakisasa #nyamayakuku #vifarangabora #vifarangavyakuku #vifarangavyakuchi...
Pet's Vaccination Card
Price: 2,000Tsh | Available
Mifugo Tz ina madaktari(Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama.
Tunatoa huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) #Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako...
Banda bora la mbwa ni kitu muhimu sana kwenye ufugaji wa mbwa ili kupata matokeo chanya.
Sifa za banda bora la mbwa.
1. Liwe linaweza kumkinga mbwa wako na baridi, mvua, jua pamoja na hatari nyingine kama nyoka
2. Banda lisafishike kirahisi, na hii husaidia katika kupunguza hatari ya...
Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara.
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani.
Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalolimwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na...
Ofa Ofa Ofa Vifaranga wa #broiler #kukuwanyama| Bei 1,400 | vinaingia Dar leo usiku asubuhi unapata.
Lipa upewe mzigo wako.
Wa mikoni mnatumiwa gharama ya usafiri ni juu ya mteja
Njia ya Mosh, Arush, Tanga usafiri juu yetu
broiler ni kuku wa nyama
Karibu tukuhudumie.
Simu:
+255 712 253...
Punguza gharama ya matumizi ya umeme kwa kutumia #Vyungu kama mbinu mbadala wa kuzalisha joto kwajili ya vifaranga.
Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi.
Umuhimu wa vyungu.
1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na...
Wakulima wanaweza kupata pesa kuuza watoto, mbuzi, maziwa na ngozi kwa ajili ya bidhaa za ngozi, na usindikaji maziwa jibini na mtindi.
Hawa ni mbuzi wenye asili ya Africa mashariki, maranyingi hufugwa kwajili ya uzalishaji wa nyama.
Ukihitaji aina hii ya Mbuzi wasiliana nasi kupitia
Simu...
Ofa Ofa Ofa Vifaranga wa #broiler #kukuwanyama| Bei 1,400 | vinaingia Dar leo usiku asubuhi unapata.
Lipa upewe mzigo wako.
Wa mikoni mnatumiwa gharama ya usafiri ni juu ya mteja
Njia ya Mosh, Arush, Tanga usafiri juu yetu
broiler ni kuku wa nyama
Karibu tukuhudumie.
Simu:
+255 712 253...
Tufahamu kwamba elimu au maarifa ni kitu cha kwanza kabla hujachukua hatua ya kufuga au kufanya kitu kwa vitendo.
Huyu ni Dr Amani akitoa mafunzo ya ufugaji kwa baadhi ya watanzania akiwa darasani, lakini pia elimu ya vitendo ilikuwepo
Lengo ni kuwajengea uwezo wa kusimama wenyewe na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.