Thanks for your offer mkuu, Nilikuwa natarget at least kuanzia 40 inches na kipaumbele ni Samsung! Hongera kwa kupata SUMSUNG LED, hapo patakuwa parefu sana bila shaka, kama hutamaindi naomba uniPM bei na duka (not bad nikujua bei hata kama sitaweza kununua kama bei yake haishikiki na actually...