Dua ni jambo la msingi sana sana ,kwa mfano Mungu ktk maandiko amesema siku ya kihama watu watakao pata kivulichake jua litakaposhuka ni mtoto atakae kua anawaombea dua wazazi wake wapate pumziko jema, sasa pia wanasema alikufa ajapotea kwani ata sisi tunaelekea uko yaweza kua leo au ata baada...
Mim kwa ulewa wangu kwa asilimia 99 utakacho ona ndotoni bas jiandae na kinyume chake kukipata duniani,mfano ukiota harus basi ukiamka jiandae na msiba au janga zito,ukiota unashika mavi jiandae kushika pesa ,mara nyingi kinyume chake ,ila kuna zingine zinaenda mbali zaidi mfano ukiota unakula...
UNAJUA MIM NIMEJIKITA KATIKA KUELEWA WAPI TUNAKWENDA BAADA YA KUFA SIKIENI BINADAMU UKILALA UNAINGIA ULIMWENGU WA NDOTO (BALZA)AMBAPO ATA MUNGU ALISEMA MLALAPO NAZITOA ROHO ZENU NA MUAMKAPO NAWAPULIZIA NDIO MAANA MDA WA KUSINZIA UWA SI CHAGUO LAKO UNAWEZA PANDA KITANDANI SAA MOJA USINGIZ UKAJA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.