Hata kama majengo hayo yatawekwa kwa matumizi ya kijamii ni sawa kabsa......ila upande wa pili bado hawa watawala watajichukulia majengo na kujitengenezea majengo kwa kodi hiyo hizo za wananchi ambao leo hii tunasema kuwa kodi hizo zinatumika na mtawala huyo
Kwahyo majengo yakirudishwa kwa umma na serikali ikawa ya ukawa ccm watalipa kodi sawa,then from there ukawa wataanza nao kujimilikisha majengo kwaajili ya kujiimalisha so,itakuwa imebadilika rangi ya majengo tu ila maisha yale yale,unazani wao wataacha bila kujijenga...never ever
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.