Recent content by Micky02

  1. M

    Dawa za kuongeza maumbile

    Shida sio mapenz mzee kunawakati unakosa uhuru na kujiamini,kuna nguo unashindwa kuvaa kabisa kama nguo za mpira nguo za kitambaa yani kunanamna natamani uelewe namna gani inatesa hii hali
  2. M

    Dawa za kuongeza maumbile

    Habari wadau, naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa za kuongeza maumbile ya kiume naomba anisaidie lakini ziwe dawa za asili. Au kama ulisha wahi kutumia dawa hizo na zikakupatia matokeo tafadhali naomba nisaidie.
  3. M

    Matokeo haya unaweza kusoma kozi ya Clinical Medicine?

    Ninamdogo Wangu Amemaliza Form six Amesoma CBG lakini Matokeo yake ni kama ifuatavyo Chem:E Bios:E Geog D Bam:E Gs:E Amekosa sifa zakwenda chuo kikuu so inabidi akasome diploma na Muhusika Anapenda kusoma course ya Clinical Medicine so Binafsi sinauelewa juu ya vyuo vya sayansi Naombeni...
Back
Top Bottom