Sjui lakini mostly kuna jibu ni correct hata sisi tulifanya written na kila jibu lina marks yake so kuna jibu la marks zote 2.5 na kuna pungufu ya hapo ndio maan written za PSRS unaambiwa cycle most correct answer not correct answer
Hii changamoto inawafanya vijana wengi washindwe kupata mikopo kutokana na majina ya cheti cha kuzaliwa kutofautiana na form 4 huku hakuna sehemu ya kuattach affidavit hivyo uwezekano wa kupata mkopo ni mdogo sana na kama itakuwa hivi itafanya waforge hivyo vyeti na sio sahihi kama vilivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.