Recent content by Michael valentine

  1. M

    JamiiForums Tanzania LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

    Tusikimbilie kukosoa mambo kwa hisia, LHRC walifika eneo la tukio na kushiriki mazishi wa askari hao. Wakati huo Rais wa Jamhuri anafanya uzinduzi wa mabweni. Tuwe na umakini katika kukosoa. LHRC inatetea haki za binadamu na haki hizi hazibagui.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Helen Kijo Bisimba na Timu yako mko wapi kuongelea mauaji ya askari?

    Hebu jaribu kupita hapa upate response ya LHRC Legal and Human Rights Centre | Facebook
  3. M

    JamiiForums Tanzania Helen Kijo Bisimba na Timu yako mko wapi kuongelea mauaji ya askari?

    Legal and Human Rights Centre | Facebook
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Haki za Binadamu, LHRC hawazungumzii haki za wezi wanaochomwa moto?

    Nakushauri usome Ripoti ya Haki za Binadamu ya Tanzania 2015 inayoandaliwa na LHRC. Utakuta sura ya Haki ya kuishi imezungumziwa mwanzoni kabisa, sio kila kitu kinatolewa tamko kwenye vyombo vya habari. Nadhani tusitumie mipaka ya ufahamu wetu wa mambo kuhukumu. Tuwe watu tunaopenda...
Back
Top Bottom