Recent content by Michael Sonda

  1. Michael Sonda

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki watofautiana juu ya Vikao vya EALA kufanyika Arusha pekee!

    me naona afadhali tu hii EAC ivunjike kwa 7bu hata kazi zake sijaona zikifanyika kwa ufasaha ipaswavyo
  2. Michael Sonda

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Jaman wanaJamii mimi sioni cha kushangaza hapa kwani serikali yenyewe ilishaga tangaza kuwa imeshachoka!
  3. Michael Sonda

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Kwa jina naitwa Michael Sonda, jamani mi ndio nimejisajili leo hii kwa hyo naomben mnipokee mwanajamii mwenzenu ili tuweze kufika kwa pa1 kule tunapotarajia kufika, muwe na siku njema wote!
Back
Top Bottom