Recent content by Michael Pius Masome

  1. M

    Je Wazanzibar wana material presidential candidate 2015 ?

    Siungi mkono raisi kutoka Zenji na hii sio ubinafsi bali ni aina ya muungano na katiba tuliyonayo. Unashangaza kufananisha muungano wetu na wa USA! ataamua nn juu ya mambo ya Tanganyika? itakuwa sawa na raia wa kigeni kuja kutawala nchi yetu na ninaamini hatutaweza kurisk nchi yetu kiac hicho.
Back
Top Bottom