Nashukuru Sana Kamanda Pia Ningependa Kufaham Kwamba Kantalamba Ni Boyz Au Boyz Na Girlz Ni High Scul Tupu Au Ina O Levo,mazngira,vifaa,walim,chakula,maji,hali Ya Hewa,na Info Zngne Kuihusu Shule Ntashukuru Sana
Wakuu Mimi Nimechaguliwa Kantalamba Nipen Info Zake Pia Sijajua Nafika Vp Maana Nipo MTWARA Pia Joining Instructions Nahitaji Msaada Saaana
Nicheki:0689094745
0672977739
Samahan Wakuu Kama Kuna Mwenye Kuifaham Shule Ya KANTALAMBA SUMBAWANGA MARA Anifahamishe Kuhusu Mazingira, Walimu, Location,chakula,michepuo Pia Wanaosoma(wavulana)(wasichana)(wavulana&wasichana) Ntashukuru Sana Wadau Pia Nafikaje Ukizngatia Natoka MTWARA Bila Kusahau Joining Instructions
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.