Reading between the lines naona KKKT wamebadili tu mikono kutoka wa kulia kwenda wa kushoto lakini bado wameshikilia pale pale! Wisdom on both parts ndio utamaliza hili jambo kwa amani. God bless Tanzania!
Mwl Nyerere aliwahi kusimulia juu ya kuzuiwa kucheza ngoma za kwao ( ya kwamba ni aibu kwa Rais!) lakini baadae jioni akaombwa kufungua dansi! WaTz too much talking, Magufuli is not about to dance to their tune! Ifike mahala nao wacheze ngoma zetu, wakishindwa basi watikise japo kidole...
Kama siku ya mwisho mtaulizwa ni roho ngapi mliwezesha kuona bunge live au mlifungua magazeti mangapi hakika nami naungana nanyi! Bwana utusamehe waja wako, ni mengi tunakukosea lakini umwingi wa rehema na msamaha.
Kwa kweli nimekuwa highly disturbed na hali ya afya ya akili zako kwa maana ya psychological state of your mind. Umefikaje huko na nini kusudio lako katika hii post? You need help brother!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia suala la Tundu Lisu kupigwa risasi na siasa za Tanzania kwa ujumla wake. Najaribu kufikiria kwa mtu kama Rais Magufuli anaweza kunufaika vipi kwa kuuawa Lissu? Kwa maana nyingine je, Lissu kama Lissu anaweza kumtoa Magufuli katika azma yake kiasi cha...
mikataba itashughulikiwa na cha kulipwa kitalipwa. kumbuka zinazolipwa sio hela za watu, zinatumika hela zetu sote! So any unconscionable term in the contracts lazima zishughulikiwe! Kwa hiyo ungelikuwa na akili kuliko kuhamaki kwamba hela zilipwe tu, pima kwanza nani anaumia na kwa faida gani...
Watanzania msiwe wanyonge kiasi cha kubeza jitihada zinazofanyika. Kuwa wazungu doesn't mean daima wako sahihi, wala wao kuwa multi national company isitutishe!
Tumeliwa vya kutosha, tumedharauliwa vya kutosha. Mikataba ile ya kijinga sio tu imetunyonya bali imetudhalilisha as a Nation. We...
Naona kama vile matukio yanaenda kama yameandaliwa vile...kama sinema! Ukitulia na kuchunguza utaona kama watu tuliandaliwa kisaikolojia kutupia lawama pande flani vile....kiasi kwamba tumefungwa macho na akili kuona na kufikiria bali kwenda moja kwa moja kuhitimisha kwamba "anhaa! Itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.