Recent content by Michael Martin michael

  1. Michael Martin michael

    Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Duuuuuu nashindwa kuelewa ni ugojwa gani huo
  2. Michael Martin michael

    Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Hakuna mi . wenyewe ninao nimemeza citrizen ya kukausha lakin pia nimepaka mualovela lakin Bado aliyepona aniambie dawa yake jaman nateseka
  3. Michael Martin michael

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Hata Mimi jamani nawashwa usiku kucha silali niliambia nimeze citrizen ya kukausha lakin Bado ndugu zangu naombeni msahad
  4. Michael Martin michael

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Asante Sana ndugu yangu yaan nawashwa usiku kucha silali
  5. Michael Martin michael

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Jamani hata Mimi ninao hivyo hivyo aliyepona aniambie dawa yake jaman nateseka kweli
Back
Top Bottom