Recent content by Michael Edson

  1. Michael Edson

    CDF Mabeyo anastahili A+ ya weledi katika kipindi chake cha kuliongoza jeshi

    Na wakati huo mwendazake alikwisha waahidi kuajiliwa baada ya kumaliza... Mean kwa lugha nyingne kakikuaka wosia wa mwendazake.
  2. Michael Edson

    CDF Mabeyo anastahili A+ ya weledi katika kipindi chake cha kuliongoza jeshi

    Soon coz Kuna kulewa madaraka,,, wacha tuone hatima ya mbeleni.
  3. Michael Edson

    CDF Mabeyo anastahili A+ ya weledi katika kipindi chake cha kuliongoza jeshi

    Yuko stahiki na alifata katiba ya JMT. Sintofahamu ya Sasa ni kuhusu hao jkt 854 walio swekwa mtaani.
  4. Michael Edson

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Wanacheza na akili za watanzani. But wacha mwendo tuone itakuaje after 3 yrs
  5. Michael Edson

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Hiii kitu kwa kuitafakari nje ya box sahii ndio wakati wa kaz kabla ya mwendazake,,,, mean Kuna mengi yalikuwa nyumba yaliyo ficha madubwasha. Mama suruhu anafanya suruhisho.
  6. Michael Edson

    Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

    Itapendeza zaidi kwan maisha ni popote.
  7. Michael Edson

    Tofauti ya Nguvu za Kiume na kushindwa Kuhimili Tendo

    Kwa upande wangu sina hiyo changamoto kwan sijabahatika kujiingiza zaidi kwenye mahusiano japokuwa nilisha wahi kugegedana[emoji28]. Nimewasilisha hoja kutaka kujua na kufapata kufaham zaid kwan limekuwa ttzo ambalo limekuwa likisumbua jamii.
  8. Michael Edson

    Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

    Welcome cz hata Niko single.
  9. Michael Edson

    Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

    Huyo ni mke Ulikwisha muamdaa toka utotoni huko ikawa kumbukizi na kutimiza wajfu.
  10. Michael Edson

    Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

    [emoji28][emoji1787] Mimi nilimpataga FB saiz ni ex wangu na hajaolewa tumebaki marafiki.
  11. Michael Edson

    Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

    Wakuu ndani ya mjengo nawasalimu. Niwasilishe kwa ukumbusho kidogo hususani kwa wale tayari walioko kwenye Ndoa. Mkeo au mmeo uliyenae mpaka Sasa ulimpata katika mazingara yapi? Jamii yetu ya kiafrika tumekuwa watu wa kuoa au kuolewa kwa kufata kanuni na taratibu na kuzingatia zaidi itikadi za...
  12. Michael Edson

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    Nazan niwakt sahihi tukutane DM soon nakutembelea mrembo.
  13. Michael Edson

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji119]
Back
Top Bottom