Ni kweli kabisa ndugu kila zao unaweza kuuza njw ya nchi yetu na ukaliingizia Taifa fedha za kigeni .Ila kusudi kubwa la walaka huu ni kuonyesha jinsi gani tunaweza kujiongeza hasa ukizingatia aina ya zao na faida zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Zao hili kama nilivyotangulia kusema ni zao la kibiashara na linauhataji mkubwa nje ya nchi yetu maana nyuzi zake zinatumika kwa kutengezea bidhaa nyingi zinazohitajika na wanadamu.
Ziko nchi nyingi zinazohitaji malighafu hiyo hasa China na nyingine zenye viwanda vingi vikubwa.
Unawezajiuliza...
Ndugu nadhani sasa inabidi tubadilike na tujaribu kuangalia mazao mengine ya kibiashara Kimataifa. Na hapo nazungumzia mazao ndani ya mashauriano ya kilimo huku ndani ni kama hayajulikani na kama hayatuhusu lakini ni kilimo vizuri kibiashara kimataifa.
Natoa ushauri Serikali yetu tukufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.