Hata sishangai kwa nyuzi za namna hii, watu wanatumwa na wanatumika. Lakini kumbukeni toilet paper inatumika mara moja tu ukishamaliza kuichambia hutupwa tena kwa kinyaa...
Nchi hii imekua na marais toka miaka ya 60, iweje asemwe rais aliyakaa only 5 years?
Sent from my SM-G955U using...
Ahaa hivi kumbe lengo la Urusi ni kuiteka kiev? Naomba ushahidi nani alisema hivyo, samahani lakini mkuu. Natambua uwezo wako wa hali ya juu kwenye military analysis
Nb: go Zelensky go, slava Ukraine slava Ukraine
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Alafu kumbe wana akili, wanajua fika west hutumia democracy kunyonya nchi nyingine. Aisee !! Mie nilijua ni empty kuchwani, hawajui walisemalo kumbe wanajua.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mkuu shusha zile nondo zako za ubovu wa silaha za Russia na ubovu wa mbinu zao kivita. Ujue mkuu wewe una utaalamu na uzoefu wa juu kwenye mambo ya kivita na mbinu za kivita.
Pia tunaomba maoni yako, ni nini Nato watafanya mara baada ya Ukraine kupigwa na mabomu usiku kucha, tena hadi ubalozi...
Maeneo aliyoyachukua sasa vita vinapiganwa frontiline, jeshi kwa jeshj, bomu kwa bomu... lakini ukraine atapoanza kufanya 'ugaidi' wa kuacha vita na kwenda kulipua miundombinu au watu wasiokua kwenye vita ilo litakua kosa.
Sasa daraja la cremea unalipiga la nini? Kwani urusi hakuona madaraja...
Mambo ya kudanganyana kama haya ndio yanaiponza Ukraine, utakisika slava Ukraine, slava Ukraine. Au utasikia go Zelensky, go Zelensky. Mwisho wa siku wanajaa vichwa na kupigika kama watoto.
Kwa somo la leo, Ukraine hawezi kurudia ule ujinga wa kupiga tena Russia, na akirudia yatakayompata vita...
Watakuambia ni rocket tu hazina madhara, wao wanakomboa maeneo donbase [emoji1787][emoji23][emoji16][emoji23][emoji1787]. Yaani watu wazima na akili zenu mnaamini nchi kama Ukraine anaweza kumpiga Russia kijeshi? Nyie!!!
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kuvunjwa kwa daraja cremea kunawasaidia Ukraine kivita si ndio? Tunasubiri kuona hivyo vikosi vya ukraine kuwaondoa warusi huko donbase. Hilo likifanyika hakika West watakua ni mabingwa wa dunia hii.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
[emoji12][emoji1][emoji1][emoji1] kuua raia wa Russia na kuvuja madaraja ni raha? Pumbuvu zenu mfyyyyy
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Haha[emoji12][emoji12] yaani na akili zako kuna nchi hapo wa kuipiga urusi? Mbabe anayeweza kutunishiana misuli tena kwa mbali ni USA
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.