Recent content by Micha

  1. M

    Msaada: Ali-disco chuo na kujitoa kwa utaratibu ila kurejesha mkopo kashindwa, anaweza kupata chuo kwa kujisomesha?

    Samahan Kama MTU ka disco chuo akafanya process zote za kujitoa kwa mfumo wa kutambulika kama mwanachuo ili aje aombe Tena maombi ya vyuo. Kwa mfano alipewa mkopo anaambiwa arejeshe 25% je Kama ikatokea kashindwa kurejesha iyo percentage anaweza kuomba chuo akapata? Na anaweza kujisomesha kwa...
Back
Top Bottom