Recent content by Mic209

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Ualimu Morogoro hatujapewa pesa za kujikimu hadi sasa

    Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya Tamisemi chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania PESA ZA KUJIKIMU KADA YA UALIMU 2026

    Walimu katika Halmashauri Ya Morogoro DC.Intake ya mwezi wa 2/2026 hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa.Tumeandikishwa barua na kila tukifatilia hatupati majibu sahihi ya pesa hizo
Back
Top Bottom