Recent content by mic mabawa

  1. M

    Plot4Sale Kiwanja mita 400 kutoka eneo la chuo kinauzwa Mwanza

    Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa. UKUBWA 1. UREFU 28 2. UPANA 25 Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA. NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo BEI TSH. 3,300,000/=...
  2. M

    Biashara ya uji

    Katoro Geita? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Jamani ushauri kuhusu biashara ya mitumba kutoka Dar kwenda mikoani

    Santeni kwa tahadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Jamani ushauri kuhusu biashara ya mitumba kutoka Dar kwenda mikoani

    Jaman wana JF nikatika kipambana na maisha yetu haya nataman kuanza biashara yamitumba kutoka Dar kwenda mikoa ya kanda ya ziwa. Je, Kwa makadrio ya mtaji wa kiasi gani naweza anza nao.? Je, nilitamani kumtumia mtu awe ananisafirishia mi naupokea mzigo nikiwa mikoan vip hii imekaa je? Vip...
  5. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ushapata connection hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    Maana hata mimi binafsi nimefaid saana hela hizi sema huwa naziheshimu saana. Huwa nina drafts za nini nitakifanya baada ya pesa kuila. Lakin pia kuna principles za kubeti na kunufaika na mchezo huu. 1. Punguza ushabiki na mahaba na timu. Ustake ishinde hata paspowezekana eti kwasabab wew ni...
  7. M

    Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    Kubeti bana nifursa ya nje nje kinachohitajika ni nidhamu pekee na kupunguza mihemko kifedha kwa maana ya tamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Nataka kutumia 500k kwenye betting

    Juu ya hizo odd chache znapatikanaje tunaweza chekiana tu ujue wote tunapambana bana. Wakiwa watu wanahangaika na forez na wengine wengine huko na ss tunatumia mb zetu kutuingizia mipesa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Nataka kutumia 500k kwenye betting

    Sikiliza boss This is betting, the bests source na njia pekee tunayonufaika nayo wachache huku wengine wakizid kutuchangia pesa hizo. Chamsingi sio tim chache unaweza weka tim 1 nausiambulie kitu.... Kitu chochote kjnachotumia pesa kinahitaji umakini. Tafuta odd ya 3.2 ambayo inapatikana kwa...
  10. M

    Watu wanakosa pesa kwasababu hawana skill inayouzika na pia hawajui kuuza

    Ni sahihi yaani kama unajitahid kufikiria na kuwaza kama shule itakutoa basi endelea utakuwa bado saana maana dunia hio imechange sana pamoja na vyeti kuhitajika kama ushajidi wa potentials zako lakin kinachoanza kwanza ni potentialz zako...uwezo wako wakuchange sutuation kweny mazingira ama...
  11. M

    Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh. 300000

    Kwa Pc kama iko vizzuri na kama unakubaliana na Riba unaipata. Mi kuna mtu anakopesha nafahamiana nae ila 50% ndugu per month akikupa 100000 urudishe 150000 baada ya siki 30.sasa akikupa 300000 urudishe 450000 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Connection ya nafaka, uko mkoa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

    Nikirahisi saana. Sema kwa sasa kunachangamoto maana raw materials zkmefingwa kwa sabab ya Korona. Ukweli nikwamba inategemeana na imannyako juu ya michezo ya kinahatisha yaan Sports betting. Ningelkuwa ni mimi hapo mapema saana unalifuaya hilo jiko. Beti kunawatu walioko makin na smart haiishi...
Back
Top Bottom