Samahani mkuu sijakuelewa kuhusu kupeleka Kwa credit nifafanulie kidogo hapo alafu pia kuhusu kuuza Kwa kilo sijajua huko mkoa gani na ni bei gani inatembea huko mzigo hunapatikana mwingi ninachokitafuta nikupata soko la huakika tu mkuu wangu
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii
Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.