Recent content by Mhorani

  1. M

    SoC02 Umuhimu wa kuajiri mtaalamu wa saikolojia (psychologist) mashuleni

    Ufaulu wa mwanafunzi unategemea vitu vingi ikiwemo nyenzo za kusomea mfano vitabu, marudio ya mitihani nk Walimu bora, mazingira mazuri ya kujisomea nk Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la wanafunzi wengi kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yao au hata kijamii nikimaanisha kufeli mitihani...
  2. M

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Tv showcase na stuli 220k (220000)
  3. M

    Natafuta frame Sinza au Makumbusho

    Ipo kinondon magomen kanisani karibu na stand ya mwendo kas nikubwa unaweza kufanya partion ukitaka
  4. M

    Nina Tsh Milioni 3, naombeni ushauri wakuu niwekeze nini? Biashara au kiwanja

    Nina fremu Magomeni tuchange kodi tuweke tugawe uweke ofis ya kipiga picha mi nifanye biashara nyingine kwakuwa bado hujajipanga biashara ya kufanya huku unaendelea kupiga picha unaangalia mishe nyingine ya kuwekeza hela yako nyingine chukua risk ndogo kwakuwa hujajipanga
  5. M

    Natafuta mtu wa kuchangia fremu ya biashara

    Mwanamke rahis kudeal nae wanaume ujanja mwingi mno
  6. M

    Natafuta mtu wa kuchangia fremu ya biashara

    Mwenye shida atakuja kupaona picha haita leta maana mzima ya eneo kufaa kibiashara
  7. M

    Natafuta mtu wa kuchangia fremu ya biashara

    Mim ni bint wa miaka 27 natafuta mtu wa kushirikiana nae kulipa fremu ya biashara (mwanamke). Nimesha pata fremu tayar maeneo ya magomen kanisani(Dar) gharama yake laki moja miez 6 kwahiyo anatakiwa kutoa nusu ya gharama. Kwa atakae kuwa intrested ni (pm). Aina ya biashara isiwe chakula au dawa...
Back
Top Bottom