Recent content by MHARADALI1000

  1. MHARADALI1000

    Mungu kwanini asingeumba watu jamii moja, dini moja kama tunavyoishi kwenye dunia moja?

    Mungu kaleta imani tupate kumwamin yeye ila dini tunatunga wenyewe tena nying zipo kwa maslah ya kundi flani
  2. MHARADALI1000

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    nikitoka nyumban situmi tena internet? au watakuja na smartphone za mezani?
  3. MHARADALI1000

    Ufisadi na rushwa zinaanza kurudi taratibu katika ofisi za serikali kwa speed hi hali inatisha

    huduma ipi unayopewa na manispaa kwa kulipia hyo service Levy maana hata gari la uchafu likipita wanataka hela yao
  4. MHARADALI1000

    Hofu wafanyakazi 600 kupoteza ajira Uwanja wa Ndege Zanzibar

    sasa jengo la tatu tu si watoe uwanja mzima kama bara na bandar yote GIVE IT TO DUBAI
  5. MHARADALI1000

    Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

    viwanda vingi maana yake wakaz wake weng ni wafanyakaz wa viwandan na mshahara wa viwandan ni 5000-7000 kwa siku hamna posho wala upigaj na ukikuta mtu analipwa 10k / day kiwandan anaheshimika sana
  6. MHARADALI1000

    Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kuwapa watoto mitaji kuanzisha biashara?

    Tukiachana na wazazi wa kibongo ambao tunajua weng hupenda watoto waajiriwe sababu biashara na fani zingine zina dharaulika kweny jamii huyo rafik pia ni tatzo huwez kukaa ndan kula na kulala halaf unataka upewe M.10 ndipo uanze biashar hat mim ningekuwa mzazi wake simpi ni risk kubwa kutoka...
  7. MHARADALI1000

    Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    haubi ...thawi ipo mbali sana na masange kama utatembea katkat ya ile milima ni mwendo wa siku nzima bila kupumzika njiani
  8. MHARADALI1000

    Licha ya nchi kuwa na umasikini, wapo wenye afadhali lakini bado wanapigwa gepu na Waarabu/ Wahindi, tatizo nini?

    Tangu uhuru mpaka sasa ni kizazi cha ngap? wengi wa wapambanaj ni kizazi cha pil tangu uhuru na hakuna cha maana ambacho wamerithi toka kwa wazaz anae fanikiwa unakuta ndio wa kwanza kuanza kukusany utajir ndan ya familia huk ndug kibao wanamtegemea
  9. MHARADALI1000

    Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    [emoji3][emoji3] umenikumbusha enzi zile mtaani tunashangilia umeme ukirudi wakat home kuna kibatari
  10. MHARADALI1000

    Wachina huu sio ujanja

    huwa najiuliza sana hivi kusambaa kwa bidhaa nyingi ambazo ni low quality au fake kabisaa shida ni wafanyabiashara kutaka faida kubwa au wanunuzi kupenda vya bei nafuu naona hata zile simu feki zilizofungiwa miaka kadhaa nyuma zimeanza kurudi kwa kasi
  11. MHARADALI1000

    Gawio la Ttcl lanikosha

    mkoa gani huko mnafanya miamala kwa TTCL wengine tunaiskia kwnye taarifa ya habari tu
  12. MHARADALI1000

    Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

    hili la watu kukataa waarabu hata mimi ndio naliona hapa watu wanapinga masharti yaliopo kwenye mkataba naona mleta maada anania ya kupotosha na kuwatoa kwenye mstari wenye hoja za maana
  13. MHARADALI1000

    Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

    suala la kazi hajaomba ushauri hvyo atapanga mwenyewe mda wa kaz na mda wakufany diet
  14. MHARADALI1000

    Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

    diet inayokufaa kama kijana chipukizi ukiamka asubuh tembea km 2 rudi hom oga halaf kunywa chai kavu ikifika saa 11 jion kula msos wa kawaida kutuliza njaa tu sio mpaka ushibe, ikifika usiku mtafute dem wako kapige mechi halaf kunywa maji tu ulale next morning repeat the routine
Back
Top Bottom