Recent content by Mhando Lisa

  1. M

    Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    huyu mjinga aliniacha nipo msibani kwa bibi 2013 na kuniambia mambo kibao, nililia sana ukijumlisha na msiba basi nilikuwa sishikiki. after an year nikawapoa. siku hiyo naona call yake namba mpya ila nilishaishikaga kichwani hata nikiamshwa siwezi isahau. nikapokea ananiuliza uko hostel...
Back
Top Bottom