Recent content by mhajida

  1. M

    Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    Kuna taarifa zinatembea kwenye mitandao kumhusu aliyekuwa naibu wa speaker kuwa inasemekana kampiga mtu, na aliyepigwa hali yake sio nzuri. Kuna mwenye taarifa zaidi atujuze?
  2. M

    Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    mwisho ngapi mkuu?
  3. M

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Mimi binafsi niseme hivi, hakika Nape na WanaCCM mlioko madarakani, hebu acheni propaganda namsome ukweli na uhalisia uliopo ulingoni. Hivi Tanzania ienendavyo ninyi inawafurahisha? Ufisadi unavyozidi hivi hata soni huna kuendelea kuvumilia upuuzi na wendawazimu wa serikali hii? wewe Nape...
Back
Top Bottom