Recent content by Mhaja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ipsum picnic
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Bado mkuu nimebadili mpaka exleta sensa lakin wap nisaidie mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naombeni ushauri nimefunga mswaki 1az vvti Gari imewaka ila haipokei resi ukikanyaga exleta
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habar wakuu jamani naomba ushauri nataka kuagiza engine ya gari yangu 1az kupitia alibaba kwawajuzi huduma hii niyakuaminika au kuna upigaji ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kaka msaada wako nahitaji amplifier nzur yamsikitini kampuni Ahuja
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba kujua hii gari inaitwa Mazda primcy niimara vipuri na economy
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Okay kwahiyo kwaupande wauimara niipi kati yahizo ambayo nibora zaid
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu mbona watu wengi wenye crown zilizotumika wanauza bei rahisi kulinganisha na premio hii imekaaje
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

    Ambacho hujaelewa nn? Shida yenu mmejaa udini tu hamna lolote
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba kuuliza kati premio na Rush ipi gari nzur nataka kufanya maamuzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyiakazi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru kwa elimu mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Yangu ninew model lakini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu gari yangu Toyota ipsum new model inatembea 8.5km per lita kwenye rough road je hii nisawa wakuu? Kama siyo tatizo inaweza kua nini?
Back
Top Bottom