Recent content by Mhafidhina255

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    Ndio madhara wakati mwingine ya kuamini vijana haya kijana ukiaminiwa fanya kazi yako kwa weledi kwa ajili ya kutengeneza njia kwa vijana wenzio
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

    Jasusi akimaliza mission Yake arudi nyumbani kutunukiwa nishani ya Shaba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Misaada wa mawazo kwa anayejua

    Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
Back
Top Bottom