Recent content by Mhadzabe

  1. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Matumizi ya akili hudhihiri zaidi pale unapojengwa kwa kuwa na uwezo wa kufanya utafiti, utafiti ni akili. Kusema shida ipo bila kubainisha ubayana (kufanya utafiti) "sio akili"
  2. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Fanya utafiti kidogo kabla ya kuandika hapa.
  3. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Hoja uliyotoa ni kwamba watanzania hawaajiriki kwa sababu ya wizi na uvivu. Ndio nakahoji nilivyohoji. Je mwalimu aliyehitimu vyuo vya ualimu nao hawajiriki kwa sababu ya wizi na uvivu? Una data zozote kuonesha watanzabia hawaajiriki kwa sababu ulizotaja?
  4. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

    Tuache ujinga wa ku belittle Elimu ya Juu
  5. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Kila mkoa ingekuwa na viwanda kama vilivyokuwepo wakati wa Nyerere ungeandika ulichoandika?
  6. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Tena chuo alichosoma bwana matravota Sufiani...au sio?
  7. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Lipo na yapo mengi, nadhani hakuna jambo lolote la maana linaweza kutoka katika vinywa vya chawa na vijana wa namna hii.
  8. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Sasa kwa nini anasubiri mpaka apate Shahada ya Ualimu?....si aache chuo ajiunge moja kwa moja VETA ama aanze ujasiliamali wa kushona viatu ambao hauhitaji hata kujua kusoma na kuandika? Taifa linapitia changamoto kubwa sana hasa katika eneo la namna vijana waliopo mashuleni na vyuoni wanavyoweza...
  9. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

    Moja kati ya resources bora kabisa inayoelekea kupotea pasipo kutumiwa vema!
  10. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    Kuna tofuti gani ya wao na wewe ambaye ni hater kwao ambao mambo yao hayakuhusu?
  11. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    Anza na ya kwako yaliyokusumbua wiki hii
  12. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania Watu wa MicroFinance wanaopiga simu kutafuta wateja, wanatoa wapi namba?

    Kama unallaa Guest House na Lodge ambazo zinaandika "vyumba vipo" jua ndipo wamepata namba zako
  13. Mhadzabe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

    Tukubali kukosoana. Chama chenu kirudi katika misingi yake. Kushindwa kurudi katika misingi yake, kunaumuhimu gani wa kuanzishwa kwake? Kama unakili CCM imechokwa unadhani ni mambo gani yaliyofanya ichokwe ambayo Mh. Lissu ameyasema na hayatendeki ndani ya chama chake? Rushwa ikemewe na kila...
Back
Top Bottom