Recent content by Mgwila junior

  1. Mgwila junior

    Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Wanapandishwa kwa wakati kama mwanzo?
  2. Mgwila junior

    GE2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

    Rungwe kuna majimbo mawili tu Mdau, Rungwe masharik na magharibi
  3. Mgwila junior

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Nilikua namrekebisha yeye alisema mbeya
  4. Mgwila junior

    Mabasi ya kampuni ya Saul yazuiliwa Kibaha Mile Moja

    Umekua mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Mgwila junior

    Mabasi ya kampuni ya Saul yazuiliwa Kibaha Mile Moja

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajinga kweli nyie
  6. Mgwila junior

    Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

    Acha uongo na wewe, ameongeza gari moja DTF mwaka huu, alianza na DPC na DPN akongeza DRH then DTF kati ya hizo moja ni Mercedes Benz na tatu ni scania gemilang, hizo gari hazitengezwi Kenya mkuu, zinatoka Ng'ambo. Kwa route za southern highland scania gemilang anazo yeye na Rungwe express...
  7. Mgwila junior

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Twiga Dar-Mbeya Hekima Dar-Mbeya Fresh ya shamba Dar-Mbeya Zainab Dar-Mbeya, Dar-Songea
  8. Mgwila junior

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Kiswele sio Songea/Ruvuma mdau
  9. Mgwila junior

    Nampongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, amelinda heshima yake

    Tuache kulitumia jina Yesu kimzaha, eti kisa jamaa mmoja kulitumia ndio iwe Kigezo, tuheshimu imani za watu wadau
  10. Mgwila junior

    Reformation ni muhimu CWT

    kweli CWT ni jipu lilikokomaa na wala hawashituki Wapo Kama sikio la kufa. Joke! Ila mkuu bila shaka wewe ndiye yule mwalimu aliyepokwa uwakikishi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mgwila junior

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Correct mno Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mgwila junior

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Jamaa Upo word to word big up Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mgwila junior

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Nampata live aise jamaa ni mhubiri mzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mgwila junior

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Jamaa anachambua vilivyo 2Nyakati 7:14 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mgwila junior

    Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    296 sio 286 mdau Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom