KWELI NYIE VIPOFU HAYA MAANDIKO WACHUNGAJI HUYAFICHA AU!
ISAYA 56: 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana
maarifa; wote ni mbwa walio bubu,
hawawezi kulia; huota ndoto, hulala,
hupenda usingizi.
11 Naam, mbwa hao wana choyo sana,
hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji
wasioweza kufahamu...